Idris Sultan apata mchongo wa kuigiza filamu Hollywood
Idris Sultan na muigizaji na mtayarishaji wa filamu za Kiumeni na Going Bongo, Ernest Napoleon wamepata nafasi ya kuigiza katika filamu mpya ya ‘The Blue Mauritius’ ya Marekani.
Filamu hiyo itaanza kutengenezwa mwezi Mach mwakani ambapo kazi hiyo inasimamiwa na kampuni mbili za utengenezaji wa filamu kutoka Marekani ikiwemo D Street Pictures na Benoraya Pictures.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA