Mchekeshaji maarufu Kelvin Hart na mkewe Eniko Parrish wa kupata mtoto wa kiume
Stori zinatoka kwa mchekeshaji maarufu kutoka nchini Marekani, Kevin Hart, 37, na Eniko Parrish,
32, wamethibitisha kuwa wanatarajia mtoto wa kiume kwa siku za usoni.
Wanandoa hawa wamefunguka kuwa mtoto wao wa kiume ataitwa — Kenzo.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Wanandoa hawa wamefunguka kuwa mtoto wao wa kiume ataitwa — Kenzo.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA