Header Ads

Breaking News
recent

Movie mpya ya 'Julie 2' ni shidaa!!

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa filamu au movies, huenda ukawa ulishaona part 1 ya movie ya kihindi ya 'Julie'.
Sasa kwa taarifa yako movie hii iliyochezwa na mtoto mzuri na mwenye umbo matata Bollywood pamoja na wakali wenzake kama vile Raai Laxmi, Ravi Kishan, Anant Jog, Aditya Srivastav na wengineo, huku ikiongozwa na mkali Deepak Shivdasani, rasmi inakwenda kuachiwa Part 2 yake 6th October, 2017.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.