Header Ads

Breaking News
recent

Picha ya Ariana Grande katika muonekano mpya

Ariana Grande ni msanii mwenye jina kubwa nchini Marekani na dunia, chochote anachokifanya huchukua attention, sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ariana ameshare picha inayomuonesha akiwa amebadili muonekano wa nywele zake, yani silver.
Ariana inasemekana muonekano huo umefanana na ule wa malikia wa series ya Game of Thrones, Daerneys’ kama unavyo waona hapo juu pichani. Hata hivyo msanii huyo aliambatanisha ujumbe kwenye picha hiyo uliosema>>> “btw (it’s grey).” 

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.