Tyrese bado aonesha kukerwa na Dwayne “The Rock” Johnson, kuhusu 'Fast & Furious series'
Kumekuwa na mvutano kati ya mastaa wawili wa Fast & Furious series yani Tyrese na The Rock, baada ya kusemekana kusogezwa mbele tarehe ya kuiachia series hiyo, ambapo ilisemekana itaachiwa July 2019, na baadae kusema tena itaachiwa 2020.
Lakini inaonekana Tyrese Gibson, 38, hakupendezwa na uamuzi huo na kufunguka kuwa aliyesababisha mambo kubadilika ni staa mwenzao Dwayne “The Rock” Johnson, 45.
Sasa kwa mara nyingine tena Tyrese amemtupia vijembe mkali wa WWE, The Rock kwa kumtuhumu kutaka kuivunja familia ya Fast & Furious, kama kawa ametumia Twitter na kuandika ujumbe huu>>> ”The real selfish #Candy A** revealed,” Tyrese kwa mujibu wa Entertainment Tonight. “And why you on twitter..?? You lost my number right? I’m at you when I see you #family.”
Filamu ya Fast & Furious 9 imepangwa kuachiwa 2020, huku Tyrese akimtupia lawama The Rock kuwachelewesha.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA