Rais mstaafu wa awamu ya nne Mh. Jakaya Kikwete leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa

Hichi ndicho JK mwenyewe aliweza kupost Twitter>>>"Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita nilizaliwa kijijini Msoga, Pwani. Namshukuru Mungu kwa rehema zake, umri mrefu na afya njema."
Naye Ridhiwani Kikwete alimpongeza baba yake kwa kuandika hivi Twitter>>>"Mungu amekupa Umri na Hekima uendelee kufanya kazi yake duniani. Nakuombea kheri kubwa unaposherehekea umri mpya. Happy Birthday Dad Jaykay".Siku kama ya leo, miaka 67 iliyopita nilizaliwa kijijini Msoga, Pwani. Namshukuru Mungu kwa rehema zake, umri mrefu na afya njema.— Jakaya Kikwete (@jmkikwete) October 7, 2017
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA