Header Ads

Breaking News
recent

Mwanamke mmoja akamatwa nje ya nyumba ya msanii Justin Bieber ikiwa ni mara ya tatu

Kuna mashabiki na mashabiki wenye nia binafsi, sasa wiki hii mwanamke mmoja mwenye takriban miaka 40 hivi na anaedhani wa kuwa ni shabiki wa Justin Bieber, 23, amekamatwa nyumbani kwa Bieber.

Kwa mujibu wa TMZ mwanamke huyo amekamatwa kwa kitendo cha kujaribu kuingilia faragha ya mtu, mara tatu ndani ya wiki moja.

Walinzi walimuonya mara ya kwanza kukaa mbali na nyumba ya msanii huyo, lakini mwanamke huyo hakusita tena kujitokeza mara tatu ndani ya wiki moja, japo hakuingia ndani.

Inasemekana safari hii polisi waliitwa na kumkamata kwaajili ya mahojiano zaidi.

PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOAD
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.