Vijana wa kitanzania 'Nimeacha Youth Club' wanakukaribisha kutembelea kituo cha watoto yatima Arusha
Vijana wa Nimeacha Youth Club inapenda kuwakumbusheni kuwa ile project
ya kwenda kuwatembelea watoto yatima Kioga Arusha ni wiki hii, siku ya
Jumamosi saa tatu asubuhi, tunakutania Mianzini. Mjuze na kijana
mwenzio.
Kwa maelezo zaidi tumia namba hiyo kwenye post.
Kwa maelezo zaidi tumia namba hiyo kwenye post.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA