Taylor Swift aonekana mtupu katika video teaser ya wimbo wake 'Ready For It'
Taylor Swift, 27, ameachia kipande cha sekunde 15 kama kionjo cha wimbo wake wa video mpya, 'Ready For It', lakini sehemu moja ameonekana mtupu, kama roboti vile.
Kama ulikuwa hufahamu single ya 'Ready For It', Taylor aliiachia September 3, ikiwa ni siku chache baada ya kumwaga single ya “Look What You Made Me Do,” Ijumaa ya October 20, Taylor pia alidokeza ujio wa single mpya ya 'Gorgeous', zote hizi zikitoka katika studio album yake ya sita inayofuata - 'Reputation'.
Mtandao wa US umeshare hii video>>>
PAKUA NYIMBO ZILIZOTOKA WIKI HII>>>DOWNLOADKama ulikuwa hufahamu single ya 'Ready For It', Taylor aliiachia September 3, ikiwa ni siku chache baada ya kumwaga single ya “Look What You Made Me Do,” Ijumaa ya October 20, Taylor pia alidokeza ujio wa single mpya ya 'Gorgeous', zote hizi zikitoka katika studio album yake ya sita inayofuata - 'Reputation'.
Mtandao wa US umeshare hii video>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.
Kupata Update kibao, like Facebook account yetu.
Twitter Account yetu>>>Asili Yetu Tanzania
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA