Header Ads

Breaking News
recent

Mfahamu mtoto wa Trump, Tiffany katika picha mpya na kinguo kifupi

Huenda ukawa humfahamu Tiffany Trump,23, mtoto wa Rais wa Marekani Donald Trump, sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram binti huyu ameonekana kutupia picha hii na kinguo kifupi kama anavyoonekana.

Lakini katika comments za picha hiyo zilionekana kutofautiana, wapo wengine waliomlaumu kuweka picha ya namna hiyo wakati huko Puerto Rico kuna majanga.

Maoni mengine yalikuwa ni yakumuhusu baba yake katika masuala mbalimbali ya nchi yao.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.