Header Ads

Breaking News
recent

Diamond Platnumz na Ali Kiba wazidi kuitetemesha Tanzania

Diamond Platnumz na Ali Kiba, hawa ni wasanii wa miondoko ya Bongo Flava kutoka Tanzania, na wenye ushawishi mkubwa sana Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. 

Wasanii hawa wamekuwa katika hali ya ushindani kimuziki na kibiashara pia, kitu ambacho kimeupa muziki wetu wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla kuingia katika tuzo kubwa kama vile Grammy, BET, MTV, AFRIMA na nyinginezo.

Chamsingi tu katika ushindani huu uwe na mipaka ya utamaduni wetu, sheria ya nchi na mengine ya kujenga na sio kubomoa, yani iwe battle skills, muziki utazidi kupanuka, other wise big up kwenu guys kwa kazi nzuri.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.