Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Mwezi wa kula Pizza kitaifa waanza nchini Marekani, mastaa wala Pizza

Beyonce akionekana na Pizza yake
Kila mwezi Octoba kuanzia tarehe 1 kwa muda wa mwezi mzima watu mbali mbali nchini humo huadhimisha mwezi wa kula Pizza kitaifa.
Miley Cyrus & Bella Hadid
Inasemekana mwezi huu migahawa yote hushusha bei ya Pizza hivyo kuwafanya watu kula Pizza kwa wingi.
Justin Bieber
 Sasa mastaa katika mwezi huu hushindwa kabisa kujivunga, kwani nao ni binadamu wa kawaida, sasa wengi wao wameonekana kula Pizza kama unavyowaona kwenye picha hizi 7.
Katy Perry
Khloe Kardashian & Kendall Jenner
Selena Gomez,25
Taylor Swift, 27,
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.