Header Ads

Breaking News
recent

Leo katika historia

 Leo katika historia tumepata fursa ya kuiangazia nchi ya Iraq. Iraq, inafahamika kama Jamuhuri ya Iraq, hii ni nchi inayopatikana magharibi mwa bara la Asia, katika upande wa kaskazini imepakana na Uturuki, Mashariki ni Iran, Kuwait kusinimashariki, Saudi Arabia kusini, Jordan kusinimagharibi, na kwa upande wa magharibi imepakana na Syria.
Iraq inakadiriwa kuwa na idadi ya watu milioni 37.2 kwa takwimu za benki ya dunia za mwaka 2016. Iraq imekabiliwa na masuala ya vita katika vipindi tofautitofauti.

Sasa leo Oktoba 03 nchi ya Iraq ilipata uhuru wake kutoka nchi ya Uingereza mnamo 1932. Leo ni siku ya kitaifa kwa Iraq.

SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi. 

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.