Teknolojia mpya, kiti cha gari kinachoweza kutambua jasho la mtu
Nissan imeuzindua kiti cha gari
chenye uwezo wa katambua jasho la binadamu ambacho kampuni hiyo inasema
kuwa kitasaidia kupunguza ajali za barabarani.
Utafiti wa walia uliofanywa na taasisi za European Hydration Institute na Loughborough University uligundua kuwa madereva wanaoishiwa na maji mwilini huwa na makosa mengi sawa na madereva walevi.
Ngozi hiyo ya kiti iliyoundwa na kampuni moja nchini Uholanzi pia itawekwa kwenye usukani wa gari na viti vya mbele vya gari .
"Hii ni sehemu ya mpango mzima ambao sio tu wa kufuatilia tu gari bali pia dereva." alisema Prof Peter Wells.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA