Baada ya mkali kutoka WCB Diamond Platnumz kufanya poa na ngoma zake kama vile 'I Miss You' na Eneka na baadaye yeye na wanaleble ya WCB kutingisha na 'Zilipendwa', sasa anatusogezea wimbo flani hivi 'HALLELUJAH' akiwa na wakali wa Reggae Morgan Heritage>>>
Usikilize hapa chini>>>
Download wimbo wa Diamond na Morgan Heritage - 'Hallelujah' mp3
Reviewed by
KISHINDO TZ
on
Friday, September 29, 2017
Rating:
5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA