Album mpya ya Michel Jackson - 'Scream' Imetoka leo
Michael Jackson estate leo Sept. 29 imeachia rasmi album mpya ya mfalme wa miondoko ya pop aliyekwisha tangulia mbele za haki kipindi kilichopita, sasa album hiyo ina nyimbo 68 za nguvu zilizowahi kutamba enzi za uhai wake, huku ikipewa jina 'Scream'.
Kabla ya kusikiliza mikwaju yote hapo chini, chukua hii kwanza>>>
Kabla ya kusikiliza mikwaju yote hapo chini, chukua hii kwanza>>>
Sasa sikiliza mikwaju hiyo hapo chini>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA