Album mpya ya Miley Cyrus - 'Younger Now' imeachiwa leo
Miley Cyrus, 24, ameachia leo studio Album yake ya sita inayotamba kama 'Younger Now' iliyodondoka rasmi leo, Sept. 29, huku ikionekana kusifiwa kwa uzuri wake.
Huenda mashabiki hawakuamini kama wangeweza kupenda nyimbo nyingine zaa msanii huyu zaidi ya ile ya “Malibu” au hii ya “Younger Now,” lakini Album nzima inaonekana kupendwa zaidi!
Miley, 24, amefunguka kuwa, wazo la kuandika Album hii alilipata siku za kuelekea Krismas alipokuwa na mama yake Tish Cyrus, 50.
Sasa chukua nafasi utazame video yake mpya na kisha unaweza kusikiliza Album nzima hapo chini>>>

Sikiliza Album yake mpya hapo chini>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA