Album mpya kutoka kwa 'Demi Lovato' - Tell Me You Love Me' aliyoiachia leo
Demi Lovato, 24, tayari amekamilisha kile alichokuwa akipika studio, hii ni album yake mpya inayoitwa Tell Me You Love Me ambayo ameiachia mapema leo, Sept. 29, huku ikionekana kukabiliwa na ushindani wa hali ya juu kutoka kwa msanii mwenzake Miley Cyrus‘ ambae naye leo ameachia album yake inayoitwa Younger Now.
Demi alikwisha achia utangulizi wa kionjo cha video kilichoitwa “Sorry Not Sorry” na “Instruction,” ikiwa ni collabo yake na msanii Jax Jones na Stefflon Don. Sasa chukua time usikilize hiyo mikwaju ya album yake mpya aliyoiachia leo>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA