Video ya Diamond Platnumz na Morgan Heritage - 'Hallelujah'
Baada ya Staa wa miondoko ya Bongo Flava kutoka WCB Diamond Platnumz kutamba na ngoma zake kama vile 'I Miss You' na Eneka na baadaye yeye na wanaleble wa WCB kutingisha na 'Zilipendwa', sasa anatusogezea Video ya wimbo mpya 'HALLELUJAH' aliowashirikisha wakali wa Reggae Morgan Heritage>>>
Utazame hapo chini, tupe maoni yako pia>>>
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi
Utazame hapo chini, tupe maoni yako pia>>>


No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA