Header Ads

Breaking News
recent

Wimbo mpya wa Wizkid Ft. Future - 'EveryTime' mp3

Msanii Wizkid ameachia wimbo wake mpya ‘Everytime’ ambao amemshirikisha rapper Future kutoka Marekani. 

Mpaka sasa tayari Wizkid ameshafanya kazi na mastaa kadhaa wa Marekani akiwemo Chris Brown, Drake na Ty Dolla $ign. Usikilize hapa chini wimbo huo.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.