Header Ads

Breaking News
recent

Maasai Market Arusha - Watanzania tununueni kazi za sanaa kutoka Tanzania

Wiki hii katika Exclusive Interview kutoka Asili TV Online, reporter wetu kutoka Arusha Stanley Lema amepiga stori na Daniel Meshack ambaye ni mtaalamu wa sanaa ya kuchonga vinyago na kazi nyingine za mikono katika Maasai Market Arusha.

Wamezungumza vitu "tuwe na uzalendo wa vitu vyetu vya nyumbani, kwasababu wao wamevipenda vya kwetu">>> Daniel Meshack
Msikilize hapo chini na kisha tupe maoni yako.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.