Ukuta wa kutenganisha Marekani na Mexico waanza kujengwa
Stori zilianza kuenea kwenye vyombo vya habari, kwenye midahalo na hata mitandao ya kijamii pale Rais Donald Trump alipoingia madarakani na kusema, lazima atajenga ukuta wa kutenganisha Marekani na Mexico ili kuzuia uhamiaji haramu na masuala ya madawa ya kulevya kutoka Mexico.
Sasa ni takribani miaka miwili toka Rais Trump atamke maneno hayo wakati alipoingia madarakani, sasa kwamujibu wa mtandao wa People.com, ukuta huo umeanza kujengwa huko San Diego nchini Marekani, kama unavyoona kwenye picha.
Kauli yenyewe ilikua hivi>>>“I would build a great wall, and nobody
builds walls better than me, believe me, and I’ll build them very
inexpensively. I will build a great, great wall on our southern border
and I’ll have Mexico pay for that wall.”.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA