Mavazi yaliyomgharimu Beyonce dola 495 ndiyo haya
Staa wa muziki wa R&B na Pop anayekadiliwa kuwa na utajiri wa dola milioni 350, mke wa Rapa Jay Z na mama wa watoto watatu, Beyonce kupitia mtandao wake wa Instagram ameonekana kutupia picha zilizoghalimu mkwanja mrefu.
Wakati raia wengi wa Marekani wakitega msimu wa bidhaa kupuguzwa bei ndo wadondoke sokoni na madukani, lakini kwa upande wake, Beyoncé hiyo sio kesi kwake.
Kali huyu Bey, 36, wiki hii amesemekana kuonekana maeneo flani huko New York City akionekana kufanya shiping ya nguo na vyombo anavyoonekana kutupia kwenye picha hizi.
Hata hivyo, mama huyu wa watoto watatu amesemekana kutumia kiasi cha dola 495 sawa na kama pesa za kibongo sh. Milioni 1,112,647.83 hivi kwa mtoko huu. kutoka kwa wabunifu mbalimbali kama vile Calvin Klein’s Fall 2017 na Raf Simons.
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA