Picha10: Nyumba za watu maarufu, hii ni ya Kety Perry - '$ 9.5 million Hollywood Hills
Msanii wa muziki maarufu nchini Marekani, Katy Perry ameonesha mjengo wake unaosemekana uko California katika vilima vya Hollywood.
Nyumba hiyo iliyoko katika eneo lenye ukubwa wa hekali 2.33 na yenye nyumba nne tofautitofauti pamoja na Gym, bwawa la kuogelea na maeneo mengine ya kupumzika, Inauzwa na staa huyo kwa kiasi cha dola milioni 9.5.
Katy Perry ni kati ya wanamuziki wenye mafanikio makubwa nchini Marekani, je unataka kuwajua majirani zake?
Hapa yupo mkali wa sauti na msanii aliyeweka rekodi na nyimbo kibao kama vile 'Hello' iliyowahi kufanyiwa remix hadi bongo, sii mwingine ni Adele, Jennifer Lawrence, Cameron Diaz, Penelope Cruz na Javier Bardem, Ashton Kutcher na Mila Kunis, na Nicole Kidman na Keith Urban.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA