Header Ads

Breaking News
recent

Picha: Kim Kardashian aonesha picha ya mtoto wake Saint siku moja baada ya kufahamika ujauzito wa mtoto wa tatu

 Kim Kardashian West ameshare picha ya mwanae wa kiume wa miezi 21, Saint, ambaye ameonekana kuvalia T-shirt kubwa nyeusi akionekana kwenye picha hapo chini akiwa amekaa akicheza na Gucci slides nyeusi.
Kardashian West, 36, na Kanye West kwa habari zilizopo hivi sasa ni kwamba wanatarajia kupata mtoto wao wa tatu katika familia yao.

Stori zimevujishwa na Kim mwenyewe kupitia muendelezo wa TV Reality yao ya 'Keeping Up With the Kardashians'  ambapo alisemea kuwa, yeye na mumewe Kanye West, 40, wanatarajia mtoto wa tatu.
 Kim na Kanye pia wanabinti yao North mwenye miaka 4 (aliyevalia sweta jeupe pichani hapo juu).

Kim alisema hivi>>> “ni nini hutokea kila mara nisemapo neno hili?>>> ‘Guess what?' Kardashian.

“Mimba, au ujauzito wa mtu mwingine,” Khloé mdogo wake alijibu.
 
Kim>>>“We’re having a baby!”>>>'tuna mtoto' Kardashian.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.