Header Ads

Breaking News
recent

Movie Mpya ya Judwaa 2 imeshatoka

 Huenda weekend yako ikawa haijajipanga uzuri kutulia nyumbani, na ungependa kupumzika na kitu flani hivi cha kitofauti, basi cheki movies zitakupa mzuka wa kutulia home na familia. 

Sasa leo nakusogezea movie covers zilizotoka na huenda zikakusanua kufukuzia movie mpya, kule kwa bwana movie mtaani.
Movie ya Judwaa imekuwa maarufu sana hata kabla ya kutoka, mtandaoni ndo hivyo kunazidi kuchafuka posters, sasa unachotakiwa kufahamu ni kwamba movie hii imeachiwa rasmi 29th September, 2017.

Mastaa waliocheza ni pamoja na Varun Dhawan, Jacqueline Fernandez, Taapsee Pannu.
Director: Sajid Khan, David Dhawan
 
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.