Header Ads

Breaking News
recent

Wasanii 8 wa kiume kutoka India wanaofanya vizuri kwa movie hivi sasa

Bilashaka wewe ni mkali wa kufuatilia trending stori za masuper stars wa filamu duniani, hasa filamu za kihindi yani huambiliki, anyways sasa chukua nafasi nikujuze mastaa nane tu wakiume, wanaotingisha kwa sasa Bollywood India.
Wakali India wako wengi sanaa wanaocheza filamu lakini majina haya yamekuwa ni kama wimbo kwa kila mmoja huko kwao, wacheki hapo chini na point zao>>>

Salman Khan - 1800 Points
Aamir Khan -1300 Points
Shah Rukh Khan -1050 Points
Akshay Kumar -800 Points
Ajay Devgn -600 Points
Hrithik Roshan -500 Points
Ranbir Kapoor -300 Points
Ranveer Singh -250 Points
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.