Picha+Video: Rihanna azindua kampuni yake mpya ya vipodozi - 'Fenty Beauty'
Staa wa muziki kutoka Marekani maarufu kama Rihanna usiku wa kuamkia leo amezindua kampuni yake mpya ya vipodozi inayoitwa 'Fenty Beauty' makeup
brand' huko New York katika Fashion Week Sept. 7,2017 huku pia akiwapa bonge la shooo watu waliofika katika uzinduzi huo!Kuhusu mavazi alipendeza sanaaaa!!!

Katika uzinduzi huo wa kampuni yake ya vipodozi Rihanna alionekana kujichanganya na mashabiki wake huku wimbo wake unaofanya vizuri “Wild Thoughts” ukitoa burudani kwatika spika za ukumbi.

Baada ya kutupia macho picha za uzinduzi wa kampuni ya mpya ya vipodozi ya msanii Rihanna uliofanyika usiku wa kuamkia leo huko Newyork Marekani, sasa cheki kipande cha video ilivyokuwa>>>
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA