Header Ads

Breaking News
recent

Mastaa Jamie Foxx na Katie Holmes waweka mahusiano yao wazi baada kuficha miaka mingi

Stori za mastaa duniani kutoka kimapenzi kwa siri zimekuwa ni nyingi, kuhu mastaa wengine wakionesha kutopenda kuweka wazi mahusiano yao kwa walimwengi.

Sasa kutoka hollywoodlife ni kwamba staa wa filamu na muziki duniani Jamie Foxx,49, baada ya kuwa kwenye mahusiano na staa mwenzake Katie Holmes,38, kwa takribani miaka 4 kwa siri, sasa inasemekana mambo ni waziwazi.

Hii ni baada ya mastaa hawa na wapenzi wa muda mrefu sasa kuonekana pamaoja, huku chanzo cha karibu  kikithibitisha mahusiano haya kuwa rasmi machoni mwa walimwengu.

Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.