MAHUSIANO: Usione Aibu Ongea na Mwenzi wako kuhusu Kutumia Kondomu na Uzazi wa Mpango

Urafiki wa Mahusiano ya mapenzi ni jambo ambalo limezoeleka duniani kote, lakini mahusiano haya yasipokuwa na upeo na kuchukuliana kwa umakini, huleta huzuni baadae.
Siku hizi kuingia katika mahusiano ni jambo rahisi sana, lakini je wewe na mwenzi wako kabla ya kuingia kwenye ndoa na mnapojamiiana hutumia kinga ipasavyo?
Endapo unampango wa kujamiiana na mwenzi wako, ni vyema mkapanga jinsi ya kuepuka ujauzito usio rasmi na magonjwa ya zinaa na mengineyo.
Lakini tambua kuwa kutumia kondomu na njia nyingine za uzazi wa mpango ni njia nzuri zaidi.
#JITAMBUE, Baki Njia Kuu
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA