Header Ads

Breaking News
recent

Fahamu Vyungu Imara na vyenye soko kwa sasa katika Soko Kuu Jijini Arusha

  Hassan Mfinanga (kwa nyuma) akiwa katika ofisi yake pamoja na mfanya biashara mwenzie.

Vyungu vimekuwa ni vyomba salama kwa matumizi mbalimbali ya nyumbani kwa miaka mingi vizazi na hata vizazi, lakini je ujio wa teknolojia ya chuma/vyombo vya vyuma na plastic vimepunguza matumizi ya vyombo vya asili?

Huenda jibu likawa ni ndiyo, vyombo vya spesho kama vile sufuria, friji, plastic vinatumika zaidi,lakini je ubora wake kwa afya ni sawa na vyombo vya asili? 

Huenda wanasayansi wanamajibu mazuri kuhusu hili, lakini kulingana na tafiti mbali mbali zilizopo, vyombo vya asili ni vizuri zaidi kiafya kuliko vya kisasa. Je unatumia mtungi kuhifadhia maji, kupikia au hata urembo?

Wiki hii repoter wetu Stanley Lema kutoka Arusha ametembelea Soko Kuu la Arusha na kufanikiwa kufanya mahojiano na mmoja ya wafanya biashara wa vyombo vya asili.
Reporter wetu Stanley Lema akiwa ameshikilia chungu, nyuma yake ni Hassan Mfinanga (kwa nyuma) akiwa katika ofisi yake.

Kutana na Hassan Mfinanga mfanya biashara wa vyombo vya asili katika Soko Kuu Jijini Arusha, akizungumza na Asili Tv Online ameelezea aina ya vyungu vyenye soko zaidi jijini humo>>>
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani, kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe YouTube account yetu  kupata update kibao.

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.