Header Ads

Breaking News
recent

Diamond Platnumz awa Star wa kwanza Tanzania kuwa na followers Mil 4. Instagram

Baada ya staa wa muziki wa Bongo Flava Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kuachia Audio na Video ya 'Hallelujah' aliyowashirikisha Morgan Heritage, ambapo imeonekana kupokelewa na na watu zaidi ya milioni katika mtandao wa YouTube, sasa habari njema kwako shabiki wake ni kwamba>>>

Diamond ndiye staa wa kwanza kutoka bongo aliyefikisha followes Milioni 4 katika mtandao wa Instagram.

Kama hujaiona video yake mpya, icheki hapo chini>>>
 
SUBSCRIBE YouTube account yetu upate video zaidi

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.