Header Ads

Breaking News
recent

Jokate Mwegelo aukubali wimbo mpya wa Diamond Platnumz na Morgan Heritage - 'Hallelujah'

 Mrembo na mfanya biashara Bongo, Jokate Mwegelo leo Sept. 9 baada ya Diamond Platnumz kuachia video yake ya 'Hallelujah' aliowashirikisha wasanii wakubwa wa Reggae duniani, Morgan Heritage, sasa mlimbwede huyu ameonesha hisia zake kupitia mdandao wake wa Tweeter, na kuandika hivi>>>
Kama hujaiona video hiyo Bonyeza hapa>>> 'HALLELUJAH'

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.