Cristiano Ronaldo azindua marashi yake CR7 Perfume
Baada ya staa wa Tanzania Diamond Platnumz kuzindua marashi/perfume yake maarufu kama 'Chibu Perfume' na staa wa muziki kutoka Marekani Rihanna hapo jana kuzindua kampuni yake ya vipodozi maarufu kama 'Fenty Beauty', sasa ni zamu ya mkali wa soka duniani Cristiano Ronaldo kuachia perfume yake.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani, kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe YouTube account yetu kupata update kibao.

Nyota wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid, Cristiano
Ronaldo maarufu kama CR 7, amezindua Manukato ‘perfume’ yake mpya ambayo
ameipa jina la CR7 au de Toilette.
Marashi hayo yanasemekana yatauzwa kwa kiasi cha paund 19 kwa chupa moja. Na picha hizi zote ni za wakati wa uzinduzi wa CR7.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani, kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe YouTube account yetu kupata update kibao.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA