Wimbo mwingine wa Lameck Ditto - "Nabembea" mp3
Msanii wa muziki wa bongo fleva, Lameck Ditto baada ya kutamba na wimbo wake wa 'Atabadilika', sasa ameachia wimbo mpya
unaoitwa ‘Nabembea’, Producer Ema The Boy, wimbo umeandikwa na Marioo.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA