Taylor Swift asemekana kumchana Kanye West kupitia wimbo wake mpya - ‘Look What You Made Me Do’ Usikilize hapa.
Ni miaka mitatu sasa imetokomea toka mashabiki wa mwanamuziki na mshindi wa tuzo kibao za muziki duniani , Taylor Swift, 27 wamekua wakisubiria mwanamuziki huyo kuachia hit nyingine.
Huenda Tylor akawa amevuja rekodi ya internet kwa kuachia wimbo mpya, akielezea pia jinsi Tylor wa zamani alivyofariki.
Hatimae sasa tunaweza kusema 'the long wait is fainally back on your ear', Taylor sasa ameachia single mpya kutoka katika album yake ya sita 'Reputation', wimbo unaitwa ‘Look What You Made Me Do’ unaosemekana kuwadiss Kim Kardashian na Kanye West.
Moja ya mistari tata aliyoiimba Tylor ni huu “I don’t like your little games. Don’t like your titled stage. The role you made me play.” Kitendo kilichotafsiriwa huenda ni kupitia zile drama za Kanye West kupitia wimbo wake wa “Famous,” uliojaribu kuifanya dunia imuone Tylor kuwa sio.
Chukua time usikilize wimbo huo hapo chini unaosemekana kumdiss Kanye West, na kisha toa maoni yako hapo chini>>>

Siku hiyo ilikua ni majira ya kuelekea mchana T- Swizzle unaeza muita hivyo pia, aliamua kufuta picha zake zote za ukurasa wake wa Instagram, haikutosha akafuta profile picture yake ya mtandao wa Twitter, akafunga pia tovuti yake na kumalizia na kufuta zaga zote katika mitandao yake ya Tumblr na Facebook.
Kwa matukio hayo mazito ya kufuta kumbukumbu zinazofuatiliwa na mamilioni ya mashabiki wake duniani, Tylor hakutoa sababu ya yeye kufanya hivyo.
Tukio hilo la Agost 18, pia limewakumbusha mashabiki wake siku aliyotangaza kuachia 'Shake It Off' na siku alivyotangaza kuachia Album yake inayoitwa '1989', ambayo iliachiwa mnamo mwezi Otober 2014.
Kwa kawaida msanii Tylor amekua na mtindo wa kuachia Album kila baada ya miaka miwili katika mwezi Octoba, lakini T-Swizzle mwaka jana alionekana kuvuruga utaratibu wake na kuwaandikia mashabiki wake kuwa "ye, we cried a lot" akiashiria kudondosha kitu kipya.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA