Bifu kati ya Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz imefikia hapa.
Baada ya stori kuenea kwenye mitandao zikiwaonesha wasanii Ali Kiba, Ommy na Diamond wakipeana vijembe, huku wakisaidiwa na team zao kutoa hisia zao, Ommy Dimpoz alionekana kununua zogo zima pale alipoweka mtandaoni picha akiwa na mama ya msanii Super Star Tanzania.
Kitendo hicho kilionekana kuwakera baadhi ya watu mitandaoni na kujikuta wakitoa yao ya moyoni, anyways, Ommy ameamua kufuta picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram akiwa na na mama wa nguli wa muziki, japo ujumbe wake umeonekana kuwakera baadhi ya watu akiweme Nay Wa Mitego na wengineo.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA