VIDEO: Teaser ya BIG BOSS Season 11 aliyocheza Salman Khan Imetoka.
Wakwetu unayefuatilia filamu za kihindi zinzaotoka pamoja na stori za mastaa nikujuze kwamba hapa umefika sehemu sahihi.
Sasa ni kujuze kuwa filamu iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya Big Boss Season ya 11 Video Teaser yake aliyocheza mkali Salman Khan Imetoka.
This time kupitia account yake ya Twitter CEO wa Colours Raj Nayak, ametupia teaser ikimuonesha Salman anaonekana yuko kwake akinyeshea maua maji huku akiimba mara maji yanamwagika katika kikombe cha chai ya jirani yake aliyekuwa jirani akipata kifungua kinywa.
Ambapo pia Salman alisikika akiimba... "Gamle mein paani doh, gamla naa joh sukhao. Gamla joh sukh gaya toh, plant marr jaayega…" Mzee ambaye ameketi chini ya sakafu anasoma gazeti lake na chai yake ya asubuhi, baada ya kumwagiwa maji alipiga hatua mbele ili kuzungumza jambo kwa Salman, akipiga kelele....
Tazama Teaser hii hapo chini>>>
Endelea kufuatilia dondoo kibao za mastaa duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia Subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.
Kama ulipitwa na hii itizame hapo chini>>>

Season ya 11 ya Big Boss ambayo ni maarufu sana India kupitia TV, inatarajiwa kuachiwa mwezi October 1.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za mastaa duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia Subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.
Kama ulipitwa na hii itizame hapo chini>>>

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA