Rais Mtaafu Dkt. Jakaya Kikwetu na Mkewe Salma Kikwete wakiwa shambani wakati wa mavuno.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekuwa ni mmoja ya viongozi wapenda kilimo na wenye
kuonesha mfano katika kilimo.
Hii ni baada ya kushare picha mara kwa mara akiwa katika mashamba yake ya mahindi na zabibu.
Dkt Kikwete kupitia ukurasa wake wa Tweeter amepost
picha akiwa na mke wake Bi Salma Kikwete wakionekana wakivuna zao hilo la mahindi na
kuandika>>> "Tunakamilisha msimu wa mavuno kijijini Msoga, Chalinze. Umekuwa msimu mzuri".
![]() |
| Dkt Kikwete na mkewe wakifurahia mavuno |
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.




No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA