REMIX: Fid Q Ft. Diamond Platnumz & Rayvanny - 'Fresh' mp3
Hivi karibuni staa Fid Q alitudondoshea wimbo mpya ‘Fresh’ ikianza audio kisha video…sasa leo August 21, 2017 amerudia tena katika headlines na hii remix yake akiwashirikisha team WCB Diamond Platnumz na RayVanny.
Chukua time isikilize hapo chini>>>
Chukua time isikilize hapo chini>>>
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA