Header Ads

Breaking News
recent

VIDEO: Msanii kutoka Kenya Avril Ft. A Pass - "Babiee"

Msanii mkali kutoka nchi jirani ya Kenya maarufu kama AVRIL amefanya combination ya Afrika Mashariki baada ya kumshirikisha msanii A PASS kutoka Uganda kwenye video ya wimbo wake wa 'BABIEE'.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu  kupata update kibao.  

No comments:

KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA

Powered by Blogger.