Album Mpya ya Tylor Swift yasemekana Itatoka siku moja na siku aliyofariki mama yake Kanye West!!. Imeibua Maswali!!
Story silizotufikia leo Aug 27, 2017 ni kuhusu msanii Tylor Swift baada ya kuachia wimbo wake mpya wa "Look What You Made Me Do" ikiwa ni baada ya kuwa kimia kwa muda mrefu, sasa leo stori ni kwamba Tylor ataachia Album yake mpya "Reputation" siku moja na siku ya kuadhimisha siku aliyofariki mama yake Kanye West 'Donda West'.
UPDATE: Mmoja kati ya watu wa label inayomsimamia Tylor, amedai kuwa, nijambo sahihi na la kawaida wao kuachia hiyo album ikiwa ni kulingana na utaratibu uliozoeleka hata kwa makundi mengine ya muziki, kuachia kazi zao siku ya Ijumaa, hivyo hiyo haina uhusiano wowote na tukio jingine.
Taylor Swift, 27, siku za hivi karibuni amekuwa katika hali flani ya kutokuwa sawa na msanii mwenzake Kanye West, 40, hii ni baada ya vimbwanga vilivyotokea kwa siku za nyuma.
Wakati Taylor akitangaza tarehe ya kuachia Album yake mpya, Reputation kuwa itaachiwa November 10, inasemekana ndio siku pia ya kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha mama yake Kanye West - 'Donda West'.
Wakati kifo cha Donda kikitokea alikuwa na miaka 58, huku akimuacha mtoto wake pekee Kanye West wakati huo.
Kugongana kwa tukio hili kuligundulika na mtandao wa TMZ waliogundua pia kuwa siku ya kuachia album ya Taylor November 10 Ijumaa, itakuwa ni sawa na siku ya kuadhimisha kifo cha mama yake Kanye, huku pia siku hiyo ikitajwa kuwa, ni siku ya kawaida ambayo makundi mengi ya muziki huachia Album zao mpya. Stori ni kwa mujibu wa mtandao wa Hollywood Life.com.
Endelea kufuatilia dondoo kibao za KITOFAUTI duniani kupitia blog yetu ya ASILI YETU TANZANIA. Pia subscribe You Tube account yetu kupata update kibao.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA