Rais mstaafu Dkt Jakaya Kikwete ni mkulima mzuri wa kuigwa.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amezidi kuonyesha mfano katika kilimo baada
ya kuonekana akiwa katika mashamba yake ya Mizabibu Dodoma
Kupitia mtandao wa twitter Mh. Kikwete ameandika, “Nikiwa Dodoma nimepata wasaa wa kutembelea na kukagua shamba langu la mizabibu. Mwaka huu mavuno yatakuwa mazuri Insha Allah.
June 4 mwaka huu pia alifanya hivyo kwa kuandika, “Kuna maisha
baada ya Urais hususani wasaa wa kufanya yale uliyokosa muda wa
kuyafanya kama kutumia muda na familia,kuangalia mifugo na shamba”.
Kisha kuweka picha akiwa katika shamba lake la mahindi kijijini Msoga.
Kisha kuweka picha akiwa katika shamba lake la mahindi kijijini Msoga.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA