Wednesday, May 21 2025

Header Ads

Asili Yetu Tanzania yawashukuru wadau wake wa ukurasa wake wa Facebook.

Asili yetu Tanzania Blog imekuwa ni mtandao wa muda mrefu sasa katika suala la utoaji wa habari za aina mbalimbali zinazofuata taratibu za kiuandishi na kufuata sheria za nchi husika. 

Kupitia ukurasa wetu wa Facebook tumekutana na marafiki wengi ambao kwa namna nyingine wamenufaika na kupata habari zetu kupitia ukurasa wetu huo.

Leo hii kuna page/kurasa nyingi sana katika mitandao ya kijamiii, sii kazi rahisi kuwafanya watu kupenda/like ukurasa wako pasipokuwa na juhudi kubwa.

Tuchukue nafasi hii kuwashukuru wadau wote 2000 waliotutia moyo kwa kuupenda ukurasa wetu wa Facebook yani ASILI YETU TANZANIA.

Tuchukue pia nafasi hii kuwaomba wadau wetu, kuwakaribisha wadau wapya/marafiki wenu kulike ukurasa wetu wa facebook ASILI YETU TANZANIA kwa wingi zaidi.

Tunapenda pia kukukaribisha usikilize kipindi cha HOT 112 RADIO SHOW kupitia blog yetu, ambapo muda wowote tutakuwa na radio yetu online yani "Asili Yetu Online Radio" hapa hapa!!!

Na pia tunaomba maoni yenu wadau ili tuboreshe huduma yetu ya habari, unaweza kusema ni nini ungependa kuona zaidi katika mitandao yetu ya habari.

Leave a Comment

Powered by Blogger.