Maajabu ya ndege kudondosha uchafu wa chooni katika paa za nyumba, faini iko hapa.
Bado nimezidi kukutana na stori za maajabu ya hii dunia, sasa leo nimekutana na stori hii katika mtandao wa BBC Swahili kuhusu ndege zinazodondosha uchafu kutoka choo cha ndege na kutua katika mapaa ya nyumba za watu huko India.... endelea..
Mtu mmoja amelalama kwamba
ndege zimekuwa zikiangusha uchafu huo kutoka chooni juu ya makaazi ya
watu karibu na uwanja wa ndege wa Delhi.
Vyoo vya ndege huweka uchafu wa chooni katika matangi maalum.
Matangi hayo hufunguliwa na uchafu huo kumwaga ndege inapotua.
Lakini mamlaka ya anga imekiri kwamba mtiririko wa uchafu huo hutokea angani kwa bahati mbaya.
Mahakama sasa imeagiza shirika hilo la usafiri wa ndege kuhakikisha kuwa kwamba ndege haziangushi kinyesi cha binaadamu kutoka anagani wakati inapotua ama mahala popte karibu na uwanja wa ndege.
Ndege nchini India zitakazoangusha
kinyesi cha binaadamu kutoka angani zitapigwa faini ya Rupee 50,000
sawa na dola 736 mahakama imeamuru.
Vyoo vya ndege huweka uchafu wa chooni katika matangi maalum.
Matangi hayo hufunguliwa na uchafu huo kumwaga ndege inapotua.
Lakini mamlaka ya anga imekiri kwamba mtiririko wa uchafu huo hutokea angani kwa bahati mbaya.
Mahakama sasa imeagiza shirika hilo la usafiri wa ndege kuhakikisha kuwa kwamba ndege haziangushi kinyesi cha binaadamu kutoka anagani wakati inapotua ama mahala popte karibu na uwanja wa ndege.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA