Ranbir Kapoor na Anushka Sharma Washerehekea Sherehe za Diwali.
Waigizaji Ranbir Kapoor na Anushka Sharma wamekua katika mji wa Delhi India kuipiga tafu filamu yao mpya inayoitwa Ae Dil Hai Mushkil ambayo pia siku ya Ijumaa iliyopita iliweza kuonekana katika majumba ya Senema.


Katika kipindi
hiki cha sherehe za Diwali, basi wao na Director wao Karan Johar
ambaye ameongongoza filamu yao ya Ae Dil Hai Mushkil pamoja na mastaa
wengine kama Aishwarya Rai Bachchan walijumuika kwa pamoja.
Katika kipindi hiki cha sherehe za Diwali, basi wao na Director wao Karan Johar ambaye ameongongoza filamu yao ya Ae Dil Hai Mushkil pamoja na mastaa wengine kama Aishwarya Rai Bachchan walijumuika kwa pamoja.
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA