NE SONG: MAD ICE - "EVERY THING I DO". MP3 (Download)
Mad
Ice ni msanii aliyezaliwa nchini Uganda na kuishi Tanzania kwa muda
mrefu ambapo aliaanza rasmi kazi yake ya muziki na kutoa albam yake ya
utmbulisho iitwayo BABY GAL (2003, Chini ya Miikka Mwamba). Msanii huyu
wa Afro-Soul baada ya album hiyo alihamia nchini Finland ambapo
aliendeleza kazi pamoja na producer Miikka Mwamba na studio nyingine
nchini humo na kutoa nyimbo nyingi zilizoshika chati tofauti duniani
kote zikiwemo Maneno, Mapenzi Sumu na Te Amo.
Single mpya kabisa ya Mad Ice inaitwa EVERYTHING I DO na imefanyika Sonic Pump Studios, Finland chini ya producer DJ Hermanni.

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA