MSANII WA TMK WANAUME FAMILY (YP) AFARIKI DUNIA.
Aliyekuwa msanii wa kundi la TMKWANAUME FAMILY linaloongozwa na
Mkubwa Said Fela alimaarufu kama YP amefariki dunia. Kwa mujibu wa Meeneja wa TMK Wanaume Family Said Fela
amesema, YP amefariki kutokana na kuugua kifua,msiba uko nyumbani kwa baba ake
Keko.
Pia msanii YP aliwahi kutamba sana katika nyimbo zake pamoja
na za kundi lake kama ‘Dar mpaka moro’, ‘kichwa kinauma’, ‘Tufurahi’
aliyoshirikishwa na Y DASH – “Si ulipenda Pesa” na nyinginezo kibao.
Chanzo: annapita.com

No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA