PICHA: DIAMOND PLATNUMZ ACHUKUA TUZO SABA ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC 2014.
Diamond na Wema wakifuatilia mashindano hayo. |
Msanii Bora wa Kiume,
Video Bora ya Mwaka.
Mtumbuizaji bora wa Muziki wa Kiume.
Wimbo Bora wa Afro Pop.
Wimbo Bora wa Mwaka.
Mtunzi Bora wa mwaka Kizazi Kipya.
Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana.