Vijana wa Ujamaa Hip Hop Darasa lililo chini ya Fid Q, wameachia single yao
ya kwanza iitwayo Ujamaa. Jana walizindua video ya wimbo huo katika darasa
lao maeneo ya Upanga jijini Dar.
NEW SONG: UJAMAA HIP HOP DARASA - "UJAMAA". MP3
Reviewed by KISHINDO TZ
on
Monday, May 26, 2014
Rating: 5
No comments:
KARIBU UTOE MAONI YAKO HAPA